Resource icon

NCDC KISWAHILI LANGUAGE S.1 TEACHER’S GUIDE

No permission to download
  • Downloads are limited to only registerd users.

    However, you can still browse our resources even when you haven't registered

National Curriculum and Development Center Resource
National Curriculum and Development Center NCDC
LOWER SECONDARY CURRICULUM
KISWAHILI LANGUAGE
TEACHER’S GUIDE​
Capture-Kiswahili_TG.png

Mwongozo huu umetayarishwa kumwezesha mwalimu kufasiri mtalaa mpya uliorekebishwa.
Pia utamwezesha kutumia kitabu cha wanafunzi vizuri. Mwongozo wa mwalimu humshauri mwalimu kuhusu kile anachostahili kufanya wakati na baada ya kufundisha.
Ili kurahisisha kazi ya mwalimu, shughuli zote na maagizo ya maswali yaliyomo katika kitabu cha mwanafunzi yamejumlishwa katika mwongozo huu ila kuna taarifa nyingine na majibu
pendekezwa ambayo yameongezwa.
Mwongozo huu umeandaliwa kwa kuzingatia lengo kuu la mtalaa uliorekebishwa unaoangazia umilisi wa mwanafunzi unaohitajika katika karne ya 21, huku ukikuza maadili, mitazamo, na milisi zake katika masomo ili kumtayarisha mwanafunzi kuendelea na masomo na mwisho
kupata kazi.